1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA: Vuguvugu la Katiba Mpya halitayumba

George Njogopa18 Agosti 2021

Chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimesema baada ya mwenyekiti wake Freeman Mbowe kutupwa gerezani akikabiliwa na mashtaka yanayohusiana na ugaidi, kinajipanga upya ili kuendeleza tena  vuguvugu lake la kudai mabadiliko ya katiba mpya. Sikiliza mahojiano maalumu kati ya mwandishi wetu George Njogopa na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema.

https://p.dw.com/p/3z7An