1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Chadema na ACT walaani kupigwa kwa kada wa CCM

15 Juni 2022

Vyama viwili vya upinzani visiwani Zanzibar vimetoa tamko la kukemea tukio la kupigwa na kuumizwa kwa kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM Baraka Shamte na kutaka uchunguzi huru wa tukio hilo ili kukomesha matendo ya uvunjifu wa haki za binaadamu visiwani humo. Isikilize ripoti yake Salma Said kutoka Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4CkMi