1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA: Mdee na wenzake watoka kwa dhamana

12 Machi 2020

Viongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA wameendelea kutoka kwa mafungu gerezani. Halima Mdee, Ester Bulaya na Esther Matiko wamerejea uraiani wakipata mapokezi makubwa kutoka kwa wafuasi wa chama hicho.

https://p.dw.com/p/3ZIpa
Wanasiasa wa CHADEMA
Picha: DW/E. Boniphace

J3 1203 Tanzania-Opposition - MP3-Stereo