1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CHADEMA kuishtaki serikali kwa umma suala la bandari

George Njogopa11 Agosti 2023

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimesema kitaendelea kuupinga mkataba wa bandari baina ya Serikali na kampuni ya DP Word ya Dubai, kikitumia kile inachokiita “mahakama ya wananchi” licha suala hilo kuamuliwa na mahakama kuu iliyotupilia mbali madai yaliyowasilishwa na walalamikaji kupinga mkataba huo. Sikiliza ripoti ya George Njogopa.

https://p.dw.com/p/4V2Vk