1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCM yaunga mkono katiba mpya Tanzania

Deo Kaji Makomba
23 Juni 2022

Mara baada ya hatua ya Chama tawala CCM kuiomba serikali kuangalia namna bora ya kufufua na kukwamua mchakato wa Katiba mpya kwa kile ilichosema maslahi mapana ya taifa, hatua hiyo imepokelewa kwa hisia mseto na watu wa kada mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/4D7Hj