1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

CCM yatangaza mchakato wa kuwania ubunge na udiwani

George Njogopa1 Julai 2020

Chama Cha Mapinduzi CCM,Tanzania, Jumatano kimefungua rasmi pazia kwa wanachama wake wanaotaka kuwania ubunge, uwakilishi na udiwani. Na huko visiwani Zanzibar, chama hicho pia kinaanza rasmi vikao kwa ajili ya kuwapima wagombea wa urais wanaofika 30.

https://p.dw.com/p/3ecp9