1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cameron na Umoja wa Ulaya: Nani kapata, nani kakosa?

Abdu Said Mtullya24 Februari 2016

Umoja wa Ulaya unaonekana kukubaliana na matakwa ya Uingereza juu ya kuuangalia upya mkataba uliouasisi umoja huo, lakini hii haimaanishi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, amepata kila alichokuwa akikisaka kwenye kampeni yake ya mageuzi makubwa kwenye ushirikiano barani Ulaya.

https://p.dw.com/p/1I15S