1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kutimuliwa waziri mkuu burundi mwarobaini wa mzozo?

Rashid Chilumba7 Septemba 2022

Rais wa Burundi Evariste Ndiyishimiye anamtuhumu aliekuwa waziri mkuu wake Alain Guillaume Bunyoni kuhujumu utawala wake na kumfuta kazi na kigogo wa chama tawala CNDD FDD Gervais Ndirakobuca kuchukua wadhifa huo. Je uamuzi huo utamaliza msuguano uliojitokeza ? Rashidi Chilumba amemuuliza mchambuzi wa siasa za maziwa makuu Ali Mali.

https://p.dw.com/p/4GXT6