1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaBurundi

Burundi yasisitiza kutoegamia kokote katika mzozo wa Urusi na Ukraine

Bruce Alakonya31 Mei 2023

Waziri wa mambo ya nje wa Burundi Albert Shingiro amesisitiza hawataegemea upande wowote katika vita vya Urusi na Ukraine baada ya Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov kukamilisha ziara yake katika baadhi ya mataifa ya Afrika siku chache baada ya mwenzake wa Ukraine Dymtro Kuleba kukamilisha ziara yake. Bruce Amani alizungumza na Ali Mali, mchambuzi wa masuala ya kimataifa aliyeko Mayote

https://p.dw.com/p/4S1eg