1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi yapata rais Mpya

19 Juni 2020

Burundi yapata rais mpya Evariste Ndayishimiye,nchini Kenya chama cha Jubilee chapasuka waziwazi huku makamu wa rais William Ruto akionesha dalili ya kuanzisha chama chake na huko Tanzania hekaheka ndani ya vyama vya siasa yapamba moto kuelekea mchakato wa kutafuta wagombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu. Kwa hayo na mengine mengi jiunge na Saumu Mwasimba katika Afrika Wiki hii

https://p.dw.com/p/3e3Ju
Burundi Vereidigung Präsident Evariste Ndayishimiye
Picha: Getty Images/AFP/T. Nitanga