1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaBurundi

Burundi yamkumbuka Nkrunziza

Amida Issa8 Juni 2023

Burundi imeadhimisha miaka mitatu tangu kifo cha aliyekuwa rais wake, Pierre Nkurunziza, ambaye chama chake tawala cha CNDD-FDD kinamchukulia kama mfano wa uzalendo. Hata hivyo hatua yake ya kugombea muhula wa tatu mwaka 2015 iliigawa Burundi na kuitumbukiza katika ghasia za umwagaji damu. Mwenzetu Amida Issa kutoka Bujumbura alituarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/4SLps