1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi yakaribisha wadau kupeleka chanjo

Hamida Issa30 Julai 2021

Serikali ya Burundi imekaribisha wadau wanao taka kuleta chanjo dhidi ya Covid 19, Huku hata hivyo ikisema haijasaini makubaliana ya kuwalipa fidia wale ambao chanjo hiyo itawaletea madhara huku maambukizi ya Covid 19 yakiongezekaa. Amida ISSA alituandalia taarifa zaidi.

https://p.dw.com/p/3yJhc