1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi yajiandaa kufanya uchaguzi wa rais

Daniel Gakuba19 Mei 2020

Burundi inajiandaa kuelekea uchaguzi wa rais utakaofanyika Mei 20. Ingawa wapo wagombea saba wanaowania kurithi kiti cha Rais Pierre Nkurunziza anayeondoka baada ya miaka 15 madarakani, mgombea wa chama tawala CNDD/FDD Evariste Ndayishimiye na Agathon Rwasa wa chama cha CNL ndio washindani wakuu. Je, hali ikoje?

https://p.dw.com/p/3cSn7