1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi yabadilisha msimamo, yatangaza COVID-19 janga

Jacob Safari Bomani1 Julai 2020

Rais mpya wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ametangaza kuwa janga la virusi vya corona ndio adui mkubwa ambaye nchi hiyo inapambana naye kwa sasa. Kauli hii inaonyesha jinsi msimamo wa serikali kuhusiana na virusi hivyo ulivyobadilika ikilinganishwa na hapo awali chini ya uongozi uliopita. Kwa nini msimamo huo umebadilika ghafla?

https://p.dw.com/p/3eeEv