1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burundi imeadhimisha leo mwaka wa 59 tangu kupata uhuru wake

Amida Issa1 Julai 2021

Burundi imeadhimisha leo mwaka wa 59 tangu kupata uhuru wake kutoka kwa mkoloni Ubelgiji. Maadhimisho yamefanyika jijini Bujumbura na kuhudhuriwa pia wageni wakiwemo rais Archange Faustin Touagera wa Jamuhuri ya Afrika kati na Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa. Sikiliza ripoti ya Amida ISSA kutoka Bujumbura.

https://p.dw.com/p/3vtlL