1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burudani la Karibuni

Saumu Yusuf12 Julai 2024

Tamasha la utalii wa utamaduni larindima huko Simiyu Kanda ya ziwa,nchini Tanzania na wasanii mbali mbali wa ngoma za asili walilia msaada wa serikali ili wainue utamaduni na kufikia viwango kama walivyofikia muziki wa Bongo Fleva. Jiunge na Saumu Mwasimba ndani ya Karibuni

https://p.dw.com/p/4iENI