1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge la Uganda lalaani ukiukwaji wakati wa uchaguzi

Lubega Emmanuel29 Januari 2021

Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga ameiagiza kamati ya bunge kuchunguza visa vya ukiukaji wa haki za binadamu katika kipindi cha uchaguzi. Aidha, bunge hilo limehoji mwendelezo wa kamatakamata ya raia bila wao kufikishwa mahakamani, hali ambayo wanaelezea inazidi kuwaweka jamaa na marafiki katika hofu na mashaka. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alituletea ripoti hii. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/3oZTt