1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga yarejea viwanjani

18 Mei 2020

Mashabiki wa kandanda mjini Dar es Salaam waelezea furaha zao baada ya ligi kuu ya soka Ujerumani Bundesliga kuanza tena. Wanatumai ligi ya nchi yao pia itaruhusiwa kuanza tena ili wachezaji wawape burudani. Yakub Talib alizungumza na baadhi yao na kuandaa ripoti ifuatayo.

https://p.dw.com/p/3cmxm