1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga kutimua vumbi mwisho wa juma

Sylvia Mwehozi
20 Januari 2023

Ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga inaendelea kutifua vumbi Jumamosi huku rais wa shirikisho la soka humu nchini DFB, Bernd Neuendorf, akielezea matumaini yake makubwa kwamba duru ya pili ya msimu huu wa sitini, itakuwa ya kusisimua. Kuzungumzia yanayoendelea katika Bundesliga ungana na Josephat Charo anayeanza na ratiba ya mechi.

https://p.dw.com/p/4MVjF