1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga kurejea viwanjani Ijumaa

Josephat Charo
15 Novemba 2021

Bundesliga yatarajiwa kurejea viwanjani baada ya mechi za kimataifa za kufuzu kwa kombe la dunia nchini Qatar 2022. Ujerumani yakamilisha ratiba ya FIFA kwa kishindo kizito kwa kuigaragaza Lichtenstein 9-0 na Armenia 4-1. Muingereza Lewis Hamilton ashinda mashindano ya mbio za magari ya langalanga ya Sao Paolo Grand Prix.

https://p.dw.com/p/431K5