1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga: Bayern Munich kuwakaribisha nyumbani Bochum

Sylvia Mwehozi10 Februari 2023

Mechi za mzunguko wa 20 wa ligi kuu ya kandanda ya Ujrumani Bundesliga zinaendelea mwishoni mwa juma huku mabingwa watetezi Bayern Munich wakiwa nyumbani kuwaalika Bochum na Union Berlin wakiwa ugenini kumenyana na RB Leipzig. Sikiliza mengi kuhusu Bundesliga na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/4NKtp