1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Brexit itakavyoathiri lugha Uingereza

Daniel Gakuba13 Februari 2018

Bila shaka umekwishasikia kuhusu mchakato wa Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, maarufu kama Brexit, Athari za Brexit sio za kiuchumi tu; kama utakavyosikia katika makala hii, zipo pia athari za kijamii na za kitamaduni. Mwangaza wa Ulaya unaangazia jinsi lugha ya Ki-Cornish inayozungumzwa na wachache nchini Uingereza inavyoweza kujikuta pabaya baada ya Brexit.

https://p.dw.com/p/2saFc