1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bremen yajiunga na Schalke Bundesliga

Josephat Charo
16 Mei 2022

Werder Bremen yajiunga na Schalke kurejea katika Bundesliga, Hamburg na Hertha Berlin kucheza mechi ya mchujo. Stuttgart yaponea chupu chupu shoka la kushuka daraja. Nyasi zatarajiwa kuwaka moto fainali ya kombe la shirikisho la Ujerumani DFB Pokal Jumamosi. Nani zaidi kati ya Freiburg na RB Leipzig? AC Milan waukaribia ubingwa wao wa kwanza wa Seria A katika kipindi cha miaka 11.

https://p.dw.com/p/4BN9M