1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BONN: Radio na Terlevizheni ya Deutsche Welle sambamba na shirika la ...

16 Januari 2004
https://p.dw.com/p/CFiz
utoaji misaada Cap Anamur zimekamilisha juhudi yao kwa pamoja ya kuwasaidia watoto wa Afghanistan. Mradi huo ukiitwa 'Madarasa 100 kwa ajili ya Afghanistan', umepokea mchango wa Euro zaidi ya laki tatu na 80 elfu kutoka kwa wafadhili kote duniani. Michango kutokana na kampeni hiyo, na pia mengine iliokusanywa na Cap Anamur, inatosha kujenga madarasa 300. Deutsche Welle inawashukuru wasikilizaji wake kwa mchango yao, na tunataraji itawasaidia watoto wa Afghanistan wawe na mustakbali mwema.