1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Biden na Xi washinikiza ushirikiano katika mkutano wao Bali

14 Novemba 2022

Kiongozi wa China Xi Jinping na Rais wa Marekani Joe Biden wamekutana leo kwa mazungumzo yaliyosubiriwa kwa muda mrefu wakati ambapo mahusiano kati ya nchi zao ni mabaya zaidi katika kipindi cha miongo kadhaa.

https://p.dw.com/p/4JVlU