1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mafunzo

Biashara ya kuandikia watu kazi za shule na chuo

Bruce Amani 2 Mei 2017

Kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, maisha wakati mwingine yanaweza kuwa magumu, na hasa linapokuja suala la kufanya mitihani na kisha kuandika tasnifu yako kabla ya kuhitimu. Siku hizi biashara ya kumlipa mtaalamu au makampuni kukuandikia tasnifu imenoga kote duniani. Lakini suali. Lakini je, unaona ni kitu kizuri kununua tasnifu ambayo haujaifanyia kazi?

https://p.dw.com/p/2cDFc