1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Besigye aunda vuguguvu la muungano wa vyama 10 vya siasa

Lubega Emmanuel8 Oktoba 2021

Dr. Besigye anadai kuwa Uganda inazidi kutumbukia katika hali mbaya ya uthabiti wa kisiasa, kijamii na kiuchumi na kuwa vuguvugu hilo lina jukumu kuepusha hali hiyo lakini bila ushiriki wa chama cha kiongozi mkuu wa upinzani kwa sasa, Bobi Wine. Sikiliza ripoti ya Lubega Emmanuel kutoka Kampala.

https://p.dw.com/p/41S9z