1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Besigye ahofia maisha yake gerezani

Emmanuel, Lubega15 Juni 2016

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye ameiambia mahakama anahofia maisha yake gerezani na kutaka aachiliwe kwa dhamana. Wakati huo huo mwendesha mashtaka ataka kesi dhidi ya Besigye iahirishwe, hadi uchunguzi ukamilike.

https://p.dw.com/p/1J6qY