1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN: Wajerumani wakumbuka siku ya maafa kwa wayahudi

10 Novemba 2005
https://p.dw.com/p/CEK0

Mihadhara kadhaa ilifanyika jana hapa nchini Ujerumani kuadhimisha tarehe 9 novemba, siku ambapo mnamo mwaka 1938 mafashisti waliyachoma moto masinagogi ya wayahudi nchini Ujerumani na Austria pamoja na kuwapeleka kwa nguvu wayahudi hao katika kambi za mateso.