1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN: UNESCO na kuongezeka kwa umaskini wa watoto

2 Machi 2005
https://p.dw.com/p/CFaM

Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada wa watoto UNICEF limelalamikia ongezeko la umaskini wa watoto nchini Ujerumani. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika hili, karibu asilimia 10 ya watoto hapa nchini, wanaishi kwenye umaskini.

Idadi yao inafikia karibu watoto milioni 1.5 wa chini ya miaka 18. Aidha wazazi wa watoto hawa wanaishi kwa kutegemea chini ya nusu ya kipato cha wastani nchini Ujerumani.