1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bendi ya wanawake pekee Dar es Salaam

3 Novemba 2021

Bendi ya wanawake Bahati huwajumuisha wanawake 15. Wenyewe ndio huimba, hupiga ala za muziki ikiwemo gitaa, na kusakata rumba wanapotumbuiza katika kumbi mbalimbali ndasni na nje ya nchi. Wanasema lengo lao ni kukuza vipaji vya wanawake na wasichana wengine. #KurunziWanawake

https://p.dw.com/p/42Wvo