1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bei ya mafuta yapandishwa tena Tanzania

Deo Kaji Makomba
3 Agosti 2022

Licha ya ruzuku ya shilingi bilioni 100 iliyotolewa na serikali ya Tanzania kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya mafuta, bei hiyo imepanda tena mwezi huu na kuivuka ile ya Julai 2022, ambapo petroli imepanda kwa Shilingi 190 kwa kila lita na Shilingi 179 kwa kila lita ya dizeli huku mafuta ya taa yakipanda kwa Shilingi 323 kwa kila lita katika jiji la Dar es Salaam. Msikilize Deo Kaji Makomba.

https://p.dw.com/p/4F3S2