1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern wapepea kileleni mwa Bundesliga

23 Januari 2023

Bayern Munich watanua mwanya wa alama tano kileleni mwa Bundesliga, Freiburg waangukia pua ugenini Wolfsburg. Arsenal kifua mbele katika ligi ya premier, Erling Halaand afunga hat trick. Real Madrid yapunguza mwanya kati yao na Barcelona, La Liga. Wekundu wa msimbazi Simba waishinda kwa tabu Dodoma Jiji, ligi kuu Tanzania bara. Simba waishinda Dodoma Jiji, ligi kuu Tanzania bara.

https://p.dw.com/p/4Maxh