1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern walazimisha sare na Gladbach

Josephat Charo
29 Agosti 2022

Bayern Munich walazimisha sare na Borussia Moenchengladbach nyumbani Allianz Arena huku Union Berlin wakiirarua Schalke 04. Taifa Stars waangukia pua mechi ya kwanza ya kufuzu CHAN. Na Serena Williams kucheza mechi yake ya kwanza katika mashindano ya tenis ya US Open.

https://p.dw.com/p/4GBk7