1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern waigaragaza Leverkusen Bundesliga

Josephat Charo
18 Oktoba 2021

Bayern Munich waigaragaza Bayer Leverkusen na kurejea kileleni mwa ligi ya Bundesliga. Erling Haaland adhihirisha umuhimu wake kwa klabu ya Borussia Dortmund katika ushindi wao dhidi ya Mainz. Huko Tanzania wagosi wa Kaya Coastal Union mashakani baada ya kula kichapo cha bao moja kwa bila kutoka kwa Ruvu Shooting.

https://p.dw.com/p/41pA3