1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern waangukia pua, Barca waponea na Simba wanguruma

14 Februari 2022

VfL Bochum waushangaza ulimwengu kwa kuishindilia Bayern Munich magoli 4, kinyang'anyiro cha kuwania nafasi za Ligi ya vilabu bingwa Ulaya Champions League chapamba moto huku timu zote zilizo kwenye nafasi hiyo zikishinda mechi zao za Bundesliga na Simba Sports Club yaanza kwa kishindo mechi za kombe la shirikisho kwa kuibwaga Asec Mimosas. Msikilize Jacob Safari.

https://p.dw.com/p/470DD