1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern Munich wapepea, huko England Manchester United taabani

15 Agosti 2022

Sadio Mane apachika wavuni magoli mawili ila yakataliwa na VAR ila Bayern yashinda vivyo hivyo, Bayer Leverkusen wapoteza mechi ya pili mfululizo na huko England kocha wa Chelsea Thomas Tuchel amlaumu muamuzi wa mechi kwa sare ya timu yake katika dabi ya London. Isikilize makala ya michezo iliyoandaliwa na Jacob Safari.

https://p.dw.com/p/4FYuo