1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern Munich wajinoa kwa msimu mpya

Josephat Charo
4 Julai 2022

Bayern Munich waanza kupiga jaramba kujinoa kwa msimu mpya wa Bundesliga. Mshambuliaji wa RB Leipzig Yussuf Poulsen kukaa nje ya uwanja hadi Septemba. Katika ligi ya Premier huko England, Cristiano Ronaldo akosa mazoezi na Manchester United, Chelsea na Bayern wamnyatia. Kiungo wa Bayern Corentin Tolisso arejea katika klabu yake ya zamani ya Lyon huko Ligue 1.

https://p.dw.com/p/4DdrH