1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern Munich kumsaini beki wa Uholanzi Daley Blind

5 Januari 2023

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Kandanda ya Ujerumani Bundesliga, Bayern Munich wanatarajiwa kumsajili beki wa Uholanzi na mchezaji wa zamani wa Ajax Daley Blind. Blind anatarajiwa kusaini kandarasi ya hadi mwisho wa msimu huu na uwezekano wa mwaka mmoja zaidi. Kwa uhondo kamili viwanjani, sikiliza mahojiano kati ya Grace Kabogo na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/4Ln8M