1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern Munich hatimaye wamnasa kipa Yann Sommer

Sylvia Mwehozi19 Januari 2023

Hatimaye Bayern wamefanikiwa kumnasa mlinda mlango Yann Sommer kujaza pengo la Manuel Neuer wakati watakapokaribishwa na RB Leipzig. Josephat Charo kwanza anaanza kwa kutueleza mpambano wa leo wa Bayern na Leipzig na vilevile mashindano ya tenisi ya Australian Open.

https://p.dw.com/p/4MR1E