1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bashir atemebelea Burundi

5 Novemba 2007

Rais wa Sudan Omar al Bashir amekamilisha ziara ya siku tatu nchini Burundi ambako alitembelea mitaa mbalimbali ya mji wa Bujumbura.

https://p.dw.com/p/C7fM
Hii ni mara ya kwanza kwa kiongozi huyo wa Sudan kufanya ziara nchini humo. Ziara hiyo ililenga kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.