1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Barua kutoka Dar

Yusra Buwayhid4 Januari 2016

Katika barua yetu kutoka Dar, Anaclet Rweyagura, anasema Rais John Pombe Magufuli anataka watendaji wakuu wa umma waahidi kwa maandishi kuzingatia kanuni za uwajibikaji katika kusimamia matumizi ya raslimali za taifa kwa ufanisi ili yeyote atakayeshindwa, ajijuwe kuwa anahatarisha ajira yake mwenyewe.

https://p.dw.com/p/1HXpI