1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Barrow ashinda muhula wa pili

6 Desemba 2021

Rais Adama Barrow wa Gambia ameshinda uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi, ambapo amepata asilimia 53 ya kura, huku mshindani wake wa karibu, Ousainou Darboe, akipata asilimia 28. Kurunzi 06.12.2021

https://p.dw.com/p/43tZy