1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bandari ya Hamburg ya tatu kwa ukubwa Ujerumani

24 Oktoba 2019

Bandari ya Hamburg yenye pirika nyingi, ni kubwa zaidi Ujerumani, ya tatu barani Ulaya na ya 15 duniani kote. Inatambulika kama 'Lango la kuingilia Ulimwenguni'. Pamoja na umuhimu wake katika sekta ya uchukuzi, eneo hili limekuwa kivutio kikubwa cha utalii.

https://p.dw.com/p/3RsDn