1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SayansiUjerumani

Balozi Abdallah Possi azungumzia hatma ya wanafunzi wa Tanzania Ukraine

7 Machi 2022

Serikali ya Tanzania kwa kushirikia na mataifa ya Hungary, Romania, Jamhuri ya Czech na Poland inafanya jitiahda za kuoanisha viwango vya elimu kwa baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania waliokatishiwa masomo yao kutoka na vita nchini Ukraine. Zaidi msikilize Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani alipozungumza na Sudi Mnette ambapo anaanza kwa kuelezea jitihada ya wanafunzi waliokwama nchini Ukraine.

https://p.dw.com/p/488OB