1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bajeti mpya ya serikali nchini Tanzania imeanza kutumika leo

George Njogopa1 Julai 2021

Bajeti mpya ya serikali nchini Tanzania imeanza kutumika leo ambako wananchi wanaanza kushuhudia mfumo mwingine kuhusu maisha yao kutokana na kodi mpya inayoanza kukatwa katika huduma kama matumizi ya simu na huduma nyinginezo ikiwamo ongezeko la kodi katika nishati ya mafuta. Sikiliza ripoti ya George Njogopa.

https://p.dw.com/p/3vthw