1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bajaji za umeme Mombasa

23 Desemba 2022

Bajaji za kuchaji kwa umeme zinatumika mjini Mombasa kwa sasa, wazo hili lilitokana na vijana wawili wadogo.Lengo kusaidia jamii yao na changamoto ya kupanda bei ya mafuta kusiko tabirika kadhalika kulinda mazingira. Tazama video

https://p.dw.com/p/4LMqW