1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baadhi ya Wamaasai wakumbatia biashara

4 Juni 2021

Kwa zaidi ya karne moja jamii ya Wamaasai imekulia katika mila ya ufugaji wa wanyama lakini kwa Tanzania jamii hiyo imeanza kubadilisha maisha yao ya asili na kujihusisha na uchuuzi na biashara, kuishi maisha nje ya wafugaji, kwa sababu ya utandawazi, ulimwengu mabadiliko na mwingiliano wa kibinadamu.

https://p.dw.com/p/3uRal