1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baadhi ya viongozi wa EAC wajadili usalama wa Congo, Nairobi

Sylvia Mwehozi
21 Aprili 2022

Marais wa nchi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana Nairobi, Kemya kujadili suala la usalama katika eneo la Mashariki mwa Congo. Taarifa kutoka mkutano huo zinaeleza wakuu wa Kenya, Uganda, Kongo na Burundi wameshiriki, huku Rwanda ikiwakilishwa na waziri wake wa mambo ya nje. Zaidi Sylvia Mwehozi amezungumza na Ali Mutasa mchambuzi wa masuala ya siasa katika eneo la maziwa makuu.

https://p.dw.com/p/4AFEB