1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baada ya mauaji nchini Afrika Kusini, wachambuzi wasemaje?

Jacob Bomani11 Julai 2022

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amelaani mauaji yaliyotokea katika sehemu mbili za burudani huko Soweto mwishoni mwa wiki ambapo jumla ya watu 15 waliuwawa. Watu wengine bado wangali mahututi kufuatia majereha ya risasi waliyoyapata. Jacob Safari alizungumza na mwandishi na mchambuzi wa masuala ya Afrika Kusini Nixon Katembo.

https://p.dw.com/p/4DwzR